VALENCIA YANYUTI KUMUUZA JOAN CANCELO KWA BARCELONA


VALENCIA YANYUTI KUMUUZA JOAN CANCELO KWA BARCELONA
MIAMBA ya soka nchini Hispania, Valencia imekataa ofa nono ya pauni ya mil 30 kutoka Barcelona kwa ajili ya mlinzi wao, Joao Cancelo.


Barca inamtaka Cancelo kuja kurithi mikoba ya Dani Alves aliyetangaza kutimka Nou Camp lakini imeonekana kuwa dili la kumnasa Mreno huyo limegonga mwamba baada ya wamiliki wake kugoma kufanya biashara.


Comments