TOTTENHAM Hotspurs wanapigana vikumbo na baadhi ya klabu zinazomfukuzia kiungo wa Villarreal, Carlos Ramos.
Lakini wanalazimika kuweka dau la ziada mezani la pauni 24 mil kwa ajili ya jembe hilo.
Carlos Ramos amekuwa akihusishwa kujiunga na Tottenham katika usajili ujao wa dirisha la majira ya joto.
United wanatajwa katika dili la kumfukuzia kiungo huyo wa Tottenham, Madrid kwa ajili ya kuimarisha kikosi cha mashetani wekundu hao.
Awali Spurs waliweka mezani dau la pauni mil 15 kwa ajili ya Carlos Ramos kabla ya Tottenham hawajaweka bayana kuwa dau la kiungo huyo ni 23 mil.
Tottenham wanakomaa na dau la awali lakini wakaweka bayana kuwa, wanaweza wakaongeza kiasi cha pauni mil 2 ili dili kufikia pauni mil 12.
Ramos amekuwa katika kiwango bora katika kipindi cha miaka miwili hii na kuwa na uhakika wa kuwa na namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza.
Comments
Post a Comment