SUNDERLAND YAIBANIA MANCHESTER UNITED KWA KIPA JORDAN PICKFORD

SUNDERLAND YAIBANIA MANCHESTER UNITED KWA KIPA JORDAN PICKFORD
KLABU ya Sunderland ya England imembania kipa wao chipukizi, Jordan Pickford, anayehitajiwa na Manchester United.

Kwa mujibu kutoka ndani ya Sunderland, klabu hiyo imeamua kubaki na kipa huyo mwenye miaka 22 ambaye ameonyesha uwezo mkubwa.

Comments