Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona na Chelsea Samuel Eto'o amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Georgette Tra Lou katika sherehe zilizofanyika Italia siku ya Jumanne.
Nyota huyo wa kimataifa wa zamani wa Cameroun mwenye umri wa miaka 35 aliyechezea pia Inter Milan na Sampdoria za Italia, alivalia suti bab kubwa ya kijivu.
Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona Samuel Eto'o amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu katika sherehe zilizofanyika Italia
Mke wa Eto'o's Georgette Tra Lou, mama wa watoto wawili akiwasili kanisani kwa bashasha
Nahodha wa zamani wa Barcelona Carles Puyol ambaye alicheza na Eto'o alihudhuria sherehe hizo akiwa na mkewe
Kwa mujibu wa ripoti, Eto'o na Georgette walishaoana tangu mwaka 2007 lakini walikuwa bado hawajafanya sherehe
Georgette Tra Lou, mchuchu wa muda mrefu wa Eto'o akiingia kanisani
Comments
Post a Comment