MSHAMBULIAJI wa klabu ya West Bromwich, Saido Berahino yu mbioni kuikacha klabu hiyo na kutua Stoke City kwa ada ya uhamisho wa pauni mil 16.
Gazeti la The Sun limeripoti kuwa Stoke imempa Berahino ofa ya mshahara wa pauni 70,000 kwa wiki ili akubali kutua kwao na dili hilo linaminika kuwa kwenye hatua nzuri kukamilika.
Comments
Post a Comment