PSV YAMMEZEA MATE MARCO VAN GINKEL WA CHELSEA

PSV YAMMEZEA MATE MARCO VAN GINKEL WA CHELSEA
KLABU ya PSV Eindhoven ya Uholanzi inataka kumsajili jumla kiungo wa Chelsea, Marco Van Ginkel aliyopo kwenye klabu hiyo kwa mkopo tangu Januari, mwaka huu.

Comments