Paris Saint-Germain ina matumaini kuwa itafanikiwa kumsajili supastaa wa Barcelona, Neymar.
Klabu hiyo ya Ufaransa inaangalia uwezekano wa kuifikia kipengele cha manunuzi cha pauni milioni 153 inatakayokuwa rekodi mpya ya manunuzi ulimwenguni.
PSG inajipanga na maisha bila Zlatan Ibrahimovic msimu ujao ambapo taarifa zinasema Neymar ambaye pia anahusishwa na Manchester United ndiye mtu anayehitajika kwa mabingwa hao wa Ufaransa.
Neymar anawindwa na PSG
Comments
Post a Comment