TIMU ya OGS Nice inaripotiwa kuwa na mpango wa kutaka kumzidishia mshahara mara tatu nyota wake Hatem Ben Arfa ili aweze kuendelea kubaki na timu hiyo.
Kwa mujibu wa jarida la L'Equipe, kwa uamuzi huo itashuhudiwa staa huyo wa timu ya taifa ya Ufaransa akikinga kitita cha euro 450.000 kwa mwezi akiwa kwenye klabu hiyo ya les Aiglons
Comments
Post a Comment