NAPOLI MBIONI KUKAMILISHA DILI LA HECTOR HERRERA



NAPOLI MBIONI KUKAMILISHA DILI LA HECTOR HERRERA
KLABU ya Napoli ipo mbioni kukamilisha dili la kiungo wa Porto, Hector Herrera.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari kutoka nchini Mexico, Napoli na Liverpool zipo kwenye vita kubwa ya kuwania saini ya Herrera, lakini taarifa zinasema kuwa Napoli imeshakamilisha makubaliano binafsi na mchezaji huyo.


Comments