Winga wa zamani wa Manchester United aliyekuwa akihusishwa na usajili wa kurejea Old Trafford, amenyakuliwa na Valencia ya Hispania.
Nani mwenye umri wa miaka 29 aliyeitumikia Fenerbahce ya Uturuki msimu uliopita, anakwenda La Liga baada ya Valencia kukubali kulipa pauni milioni 7 ambazo zinatosha kuununua mkataba wa nyota huyo wa kimataifa wa Ureno.
Nani mbioni kujiunga na Valencia
Valencia imekubali kulipa pauni milioni 7 ili kumnasa Nani
Comments
Post a Comment