WAKATI klabu ya              Manchester United ikiendelea kumfukuzia kiungo wa Borussia              Dortmund, Henrikh Mkhitaryan, kocha wa United, Jose Mourinho              ameanza kumnyemelea kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey.
        Mourinho              atamsajili Ramsey mwenye thamani ya pauni mil 50 iwapo              atamkosa Mkhitaryan katika dirisha la usajili wa majira haya              ya kiangazi.
        
Comments
Post a Comment