MKE WA JAMIE VARDY AWACHACHAMALIA MASHABIKI WA LEICESTER CITY



MKE WA JAMIE VARDY AWACHACHAMALIA MASHABIKI WA LEICESTER CITY
MKE wa straika wa Leicester City, Jamie Vardy, Rebekah amewajia juu wanaomsakama katika mtandao wa kijamii wa Twitter kufuatia mumewe kuhusishwa na mpango wa kujiunga na Arsenal.

"Sikilizeni mashabiki wa LCFC, msinishukie mimi kwa matusi, sihusiki na chochote katika maisha ya soka ya mume wangu! Sio haki," aliandika Rebekah.


Comments