TIMU ya              Manchester United inaripotiwa kuanza mazungumzo na kinda wa              Basel, Breel Embolo ili kuona kama inaweza kumsajili wakati              wa usajili wa majira haya ya joto.
        Kwa mujibu wa              mtandao wa 20 Minuten, klabu hiyo ya Old Trafford ina              uhakika wa kumnasa nyota huyo licha ya kukabiliwa na              upinzani kutoka kwa Tottenham.
        
Comments
Post a Comment