MANCHESTER CITY YAJIANDA KUIKABILI BARCELONA KWENYE VITA YA KUMWANIA NOLITO

MANCHESTER CITY YAJIANDA KUIKABILI BARCELONA KWENYE VITA YA KUMWANIA NOLITO
KOCHA wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola anajiandaa kukabiliana na Barcelona katika vita ya kuwania saini ya winga wa Celta Vigo, Nolito.

Nolito, 29, ametokea kuzivutia mno klabu hizo kutokana na kiwango cha hali ya juu alichokionyesha msimu uliopita na sasa vita ya kumtwaa imeanza kupamba moto.     

Comments