MSHAMBULIAJI              Christian Benteke mwenye thamani ya pauni mil 32.5 sawa na              dola mil 45.5 atawekwa sokoni kwa kushindwa kuonyesha              kiwango.
        Benteke alitua              Liverpool msimu uliopita akitokea Aston Villa, staa huyo              kutoka Ubelgiji amepoteza uwezo wake wa kucheka na nyavu,              jambo lililowafanya Liverpool wamweke sokoni.
        
Comments
Post a Comment