JUVENTUS KUMSAJILI DANI ALVES WA BARCELONA



JUVENTUS KUMSAJILI DANI ALVES WA BARCELONA
KLABU bingwa ya Italia, Juventus inatarajia kumtangaza mlinzi mkongwe wa FC Barcelona, Dani Alves kuwa mchezaji wake mpya.


Alves, 33, inasemekana amepewa mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo.


Comments