KLABU ya Juventus              inakaribia kuipiga bao Everton kumsajili mshambuliaji mahiri              wa Southampton na timu ya taifa ya Italia, Graziano Pelle.
        Mchezaji huyo              mwenye miaka 30 amenukuliwa akisema atailazimisha              Southampton kumuuza kinyume cha hivyo ataondoka akiwa huru              kiangazi cha mwakani
        
Comments
Post a Comment