STAA wa klabu ya Sporting Lisbon, Islam Sliman amesema haelewi kama ataendelea kubaki kwenye klabu hiyo au atatimkia kwenye dirisha la usajili wa majira haya ya kiangazi.
Mualgeria huyo alihusishwa na dili la kutua kwa mabingwa wa England, Leicester City mwezi uliopita na taarifa zilizoibuka kuwa viongozi wa miamba hiyo ya Ureno haewajazungumza nae kuhusu mkataba mpya, zinaweza kuchochea kuondoka kwake.
Comments
Post a Comment