CRYSTAL Palace              inataka kumrudisha winga wa Newcastle United, Andros              Townsend katika ngazi ya Ligi Kuu England kwa kutoa kiasi              cha pauni mil 8 ili kuinasa saini yake.
        Newcastle              imeshuka daraja msimu huu, lakini Palace imeingia sokoni kwa              ajili ya kusaka wachezaji bora na Townsend anaweza kupata              nafasi ya kurudi Ligi Kuu kwa kukubali uhamisho huo.
        
Comments
Post a Comment