BAADA YA VARDY SASA ARSENAL YAMFUNGIA KAZI RIYAD MAHREZ WA LEICESTER



BAADA YA VARDY SASA ARSENAL YAMFUNGIA KAZI RIYAD MAHREZ WA LEICESTER

ARSENAL imedhamiria kuibomoa Leicester, wakati mshambuliaji Jamie Vardy anahesabu masaa kutua Emirates, klabu hiyo imeanzisha maongezi ya kumsajili kiungo wa Leicester Riyad Mahrez.
Arsene Wenger ambaye amegundua kuwa Mahrez ana kipengele rahisi cha kuununua mkataba wake.
Mahrez ambaye alitwaa tuzo ya uchezaji bora wa Premier League msimu huu uliosha, aliigharimu pauni 400,000 tu kutoka klabu ya Le Havre  Januari 2014.






Comments