MANCHESTER United imepanga kumsajili Yoshinori Muto anayekipiga FSV Mainz 05 ya Ujerumani, kwa aili ya msimu ujao.
Kwa mujibu wa tarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, imeeleza kuwa mchezaji huyo amekuwa akiwaniwa na baadhi ya timu za barani Ulaya.
Lakini wakala wa mchezaji huyo ameshindwa kutoa taarifa yoyote kama mchezaji huyo ataondoka katika timu yake ya sasa au la.
Comments
Post a Comment