Katika mechi hiyo ya Manchester United ilipata ushindi wa maba0 3-1, matokeo yaliwapa tiketi ya kucheza Europa League.
Rooney alifunga bao la kwanza kabla ya kumtengea pasi nzuri Ashley Young aliyefunga goli la tatu.
"Wakati mwingine unashawishika kubadili mazingira ya kazi yako na kwa sasa ni mimi ni bora zaidi kwenye eneo la kiungo," alisema Rooney.
Comments
Post a Comment