KLABU ya Southampton inazidi kumnyatia nyota wa Anderlecht ya Ubelgiji, Dennis Praet kwa ada ya pauni mil 10.
Dennis Praet mwenye miaka 22, amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake wa kuitumikia klabu hiyo.
Mchezaji huyo amekuwa akifukuziwa na klabu kadhaa za barani laya zikiwemo Sevilla ya Hispania, Fiorentina ya Italia, Everton na Leicester City za Uingereza.
Comments
Post a Comment