MACHESTER UNITED 'YAPATA' MBADALA WA RENATO SANCHES ,,, ni Saul Niguez wa Atletico Madrid, pauni mil 54 zatengwa
Manchester United imedhamiria kumsajili Saul Niguez wa            Atletico Madrid kwa pauni milioni 54 kuelekea utawala mpya wa            Jose Mourinho.
        Saul ni moja kati            ya vipaji vinavyotikisa Hispania na goli lake la juhudi            binafsi dhidi ya  Bayern Munich katika mchezo wa kwanza wa            nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, linaanika hadharani kipaji            chake cha kipekee.
        Kiungo huyo wa            miaka 21 anawekwa kwenye mizani moja na Renato Sanches ambaye United ilitaka            kumsajili lakini akachagua kujiunga na Bayern Munich.
        Kiungo wa Atletico              Madrid Saul Niguez anawaniwa na Manchester United
        Niguez akigunga bao              tamu dhidi ya Bayern Munich
          
Comments
Post a Comment