Wakati msimu wa Premier League umekamilika wiki moja iliyopita, Arsenal tayari inaangalia mbele kujipanga na msimu ujao kwa kuzindua jezi zao mpya za uwanja wa nyumbani kwa msimu wa 2016/17.
Jezi hizo zimebuniwa na Puma, iliyosaini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo utaoipatia Arsenal kitita cha pauni milioni 30 kwa mwaka.
(Kutoka kushoto) Santi Cazorla, Olivier Giroud na Hector Bellerin wakitambulisha jezi mpya
Hector Bellerin katika uzi mpya wa Arsenal
Giroud naye aking'ara na uzi mpya
Comments
Post a Comment