VIDEO: MAGOLI MATATU YA ESPERANCE YALIYOIONDOSHA AZAM MICHUANO YA CAF



VIDEO: MAGOLI MATATU YA ESPERANCE YALIYOIONDOSHA AZAM MICHUANO YA CAF

Esperance

Kama hukufanikiwa kushuhudia pambano la Esperance vs Azam FC ambalo lilimalizika kwa Azam kuchapwa bao 3-0 na kutupwa nje ya mashindano ya CAF wakiishia hatua ya 16 bora.

Magoli yote ya Esperance yalifungwa kipindi cha pili cha mchezo huo baada ya Azam kukomaa na kuzuia kufungwa goli katika kipindi chote cha kwanza.

Hapa chini unaweza kushuhudia highlights za magoli yote matatu yaliyowasukuma Azam nje ya michuano hiyo.



Comments