PEP GUARDIOLA AMTAKA PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG MANCHESTER CITY



PEP GUARDIOLA AMTAKA PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG MANCHESTER CITY
Aubameyang celebrates            in trademark fashion after scoring against Werder Bremen on            Saturday
KOCHA ajaye wa Manchester City, Pep Guardiola ameripotiwa kutoa maelekezo kwa viongozi wa klabu hiyo kumsajili straika wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang kiangazi hiki.

Gazeti la Ufaransa la Le10 Sport limedai kuwa Manchester City itatumia zaidi ya pauni milioni 80 kuweza kumnasa sgtraika huyo mwenye miaka 27, ambaye pia anatolewa macho na Manchester United na Arsenal msimu huu akiwa na mabao yake 33.


Comments