Liverpool imepoteza mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Europa League baada ya kufungwa 1-0 na Villarreal ya Hispania iliyokuwa mwenyeji wa mchezo huo.
Bao la Villarreal lilikuja katika dakika ya mwisho ya mchezo kupitia kwa Adrian Lopez.
Katika nusu fainali nyingine, Shakhtar Donetsk na Sevilla zatoka zilitoka suluhu ya 2-2.
Wachezaji wa Villarreal wakipata wazimu wa kushangilia baada ya Adrian Lopez kufunga goli pekee katika dakika ya mwisho ya mchezo
Adrian akishangilia bap lake
James Milner na Christian Benteke wakiwa hoi kwenye dimba la kati
Kocha wa Villarrea Marcelino naye akiwa na mzuka wa ushindi
Comments
Post a Comment