Real Madrid inajiandaa kukamilisha dili jipya la kushangaza la kumbakiza Cristiano Ronaldo klabuni hapo hadi mwaka 2020.
Rais wa Madrid Florentino Perez amekusudia kufuta njozi za Paris Saint-Germain waliokuwa wakimpigia hesabu Ronaldo ambaye anashikilia rekodi ya upachikaji mabao Real Madrid.
PSG ilikuwa tayari kulipa pauni milioni 80 ili kupata huduma ya Ronaldo.
Real Madrid inajiandaa kumpa mkataba mpya Cristiano Ronaldo utakaokwenda hadi mwaka 2020
Cristiano Ronaldo bado lulu Real Madrid
Comments
Post a Comment