Sasa Arsenal ni wazi inamaliza msimu bila taji lolote, sare ya 1-1 dhidi ya Crystal Palace imeharibu kila kitu kwenye nyendo zao za kutwaa taji la Premier League.
Ikicheza mchezo huo wa Premier League kwenye uwanja wao wa Emirates, Arsenal ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya Alexis Sanchez dakika ya 45.
Zikiwa zimesalia dakika tisa, Yannick Bolasie akaisawazishia Crystal Palace.
Arsenal (4-2-3-1): Cech 5; Bellerin 6, Koscielny 6, Gabriel 5, Monreal 5; Elneny 6 (Walcott 84), Coquelin 5; Sanchez 7.5, Ozil 7, Iwobi 6 (Ramsey 76min, 5); Welbeck 6 (Giroud 76, 5)
Subs not used: Mertesacker, Ospina, Chambers, Campbell
Crystal Palace (4-4-2): Hennessey 6; Ward 6, Dann 7, Delaney 6, Souare 5; Puncheon 5 (Zaha), Cabaye 5, Jedinak 5 (Sako HT, 6), Ledley 5.5; Bolasie 6, Wickham 5 (Adebayor 64, 6)
Yannick Bolasie akiifungia Crystal Palace bao la kusawazisha
Arsenal wakipongezana baada ya bao la Sanches
Sanchez anatumia vema pasi ya Welbeck na kuifungia Arsenal bao la kuongoza dakika ya 14
Sanchez anashangilia bao lake
Bolasie anaangalia mchomo wake ukitinga wavuni na kuwa bao la kusawazisha kwa Palace ndani ya Emirates Stadium
Kocha wa Palace Pardew akimpongeza Bolasie
Comments
Post a Comment