ACHANA KABISA NA REAL MADRID, YAIBUGIZA WOLFSBURG 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI CHAMPIONS LEAGUE ...RONALDO BALAAA
Cristiano Ronaldo amefunga katika dakika ya 16, 17 na 77 na kuipatia Real Madrid ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani kwenye mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Ushindi huo unaivusha Real Madrid hadi hatua ya nusu fainali kwa jumla ya bao 3-2.
Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Ujerumani wiki iliyopita, Wolfsburg ilishinda 2-0.
Comments
Post a Comment