CHELSEA imewaambia Real Madrid kwamba walipe pauni milioni 73 iwaachie kipa wao namba moja, Thibaut Courtois katika dirisha la usajili wa kiangazi.
Courtois ni mmoja wa makipa bora duniani na Chelsea ina matumaini kuwa dau hilo litazikimbiza klabu zinazommezea mate.
Real inasaka kipa namba moja baada ya kushindwa kumng'oa David de Gea wa Manchester United kiangazi kilichopita.
Comments
Post a Comment