Neymar : “Mimi ni shabiki wa Cristiano Ronaldo”



Neymar : "Mimi ni shabiki wa Cristiano Ronaldo"

ney

Siku kadhaa zilizopita ilitoka story kwamba shabiki wa Ronaldo na Messi walipigana huko India hadi mmoja wapo akafariki dunia kutokana na kurushiwa chupa shingoni.

Mashabiki hawapatani lakini wachezaji wanapenda na kukubaliana vizuri. Neymar akiongea na gazeti moja la Ureno amesema, "Mimi ni shabikiwa Ronaldo, yeye ni legend na ingekua vizuri sana kama angecheza Barcelona".

Kwenye interview hiyo pia waandishi walimuuliza swali kuhusu kocha Enrique na Pep Guardiola, "Wote nawakubari sana, lakini kwa sasa kocha wangu ni Enrique".

 



Comments