Manchester City imehusishwa na nyota kibao inaotaka kuwasajili katika ujio wa kocha mpya Pep Guardiola Julai 1.
Mchambuzi wa soka Jamie Carragher anaamini City wanahitaji kati ya wachezaji saba hadi nane ingawa inaaminika klabu hiyo inataka kusajili wachezaji wanne tu.
Tangu Manchester City ilipotangaza kuwa Guardiola atakuwa mrithi wa Manuel Pellegrini kiangazi hiki, klabu imeporomoka kutoka kwenye mbio za ubingwa hadi kuwania nafasi ya kuwepo kwenye 'top four'.
Kuanzia kipindi hicho, City imeokota pointi nne tu kati ya 18 ilizostahili kupata kwenye Premier League.
Manchester City inategemewa kufanya usajili wa kishindo miongoni mwa wachezaji hawa wafuatao:
JULIAN WEIGL (Borussia Dortmund)
BEN CHILWELL (Leicester City)
AYMERIC LAPORTE (Atheltic Bilbao)
JOHN STONES (Everton)
SERGIO BUSQUETS (Barcelona)
PAUL POGBA (Juventus)
THIAGO ALCANTARA (Bayern)
GODFRED DONSAH (Bologna)
AMADOU DIAWARA (Bologna)
YOURI TIELEMANS (Anderlecht)
RIECHEDLY BAZOER (Ajax)
DENNIS PRAET (Anderlecht)
OUSMANE DEMBELE (Rennes)
ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN (Arsenal)
INAKI WILLIAMS (Athletic Bilbao)
ALVARO MORATA (Juventus)
Comments
Post a Comment