JURGEN KLOPP NA LIVERPOOL YAKE USO KWA USO NA BORUSIA DORTMUND EUROPA LEAGUE



JURGEN KLOPP NA LIVERPOOL YAKE USO KWA USO NA BORUSIA DORTMUND EUROPA LEAGUE
Jurgen Klopp anakumbana na mechi inayobeba hisia kubwa pale Liverpool itakapoikabili Borussia Dortmund kwenye hatua ya robo fainali ya Europa League.

Klopp aliifundisha Borussia Dortmund kwa miaka saba kabla haiajacha mwaka 2015 na baadae kujiunga na Liverpool.


Liverpool iliyoing'oa Manchester United Alhamisi usiku, sasa itaanza kampeni yake ya kusaka tiketi ya nusu fainali kwa kuifuata Dortmund April 7 kabla ya kurudiania Anfield April 14.
Jurgen Klopp reacts on the                  touchline as Liverpool beat Manchester United over two                  legs in the last 16
Jurgen Klopp kukumbana na timu yake ya zamani
Pierre-Emerick Aubameyang                  celebrates after scoring for Borussia Dortmund against                  Tottenham on Thursday
Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund goli dhidi ya Tottenham Alhamisi
 Liverpool itamenyana na Borussia Dortmund  April 7 na kurudiana April 14


Comments