Mlinda mlango mshindi wa Kombe la Dunia Iker Casillas amemuoa kwa siri kipenzi chake cha siku nyingi Sara Carbonero.
Kimwana huyo ripota wa TV na kipa huyo wa zamani wa Real Madrid wanaotarajiwa kupata mtoto wao wa pili, wanadaiwa kufunga ndoa March 20.
Iker Casillas (kulia) na kipenzi chake Sara Carbonero
Jarida la iHola la Hispania lililofichua ndoa ya wawili hao
Wawili hao walianza mahusiano mwaka 2010
Casillas aliteka vichwa vya habari pale alipombusu mdomoni mpenzi wake wakati wa World Cup ya mwaka 2010 ambapo Sara Carbonero (kulia) alikuwa kazini kuripoti michuano hiyo
Comments
Post a Comment