HARRY KANE ametengeneza historia mpya jana jumapili katika ligi kuu ya Uingereza.

Na Harry Kane amefuata nyayo zake kwa magoli mawili aliyofunga dhidi ya Bournemouth @White Hart Lane ambayo yamefanya atimize magoli 21, idadi sawa na ya msimu uliopita.
Kane alisema: Nina furaha sana na ushindi wa 3-0, ushindi mzuri kuelekea break ya mechi za kimataifa."
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England sasa anaungana na listi ya wachezaji wa Uingereza ambao waliweka rekodi kama yake. 
Harry Kane anakuwa mchezaji wa tano wa England katika historia ya Premier League Shearer, Robbie Fowler, Les Ferdinand na Andy Cole kuwa na rekodi ya kufunga magoli 20 au zaidi katika misimu miwili mfululizo.
Comments
Post a Comment