Chelsea ikipambana kwenye ligi, Captain Terry yupo batani Dubai.


Chelsea ikipambana kwenye ligi, Captain Terry yupo batani Dubai.

1

Captain wa Chelsea John Terry anaweza kuwa na mechi 8 zilizobaki na club ya Chelsea kwasababu mkataba wake uanisha mwishoni mwa msimu huu. Hatima ya John Terry haijulikani bado huku ikisemakana kwamba yeye anataka kumaliza soka lake akiwa na club hiyo hiyo ya Chelsea.

Teeey mwenye miaka 35 alikuwa China Shanghai siku chache zilizopita akiwa kwenye tour ya ku-promote Yokohama Tyres ambao ni wadhamini wa Chelsea. Lakini sasa hivi yupo zake Dubai na familia yake aki enjoy good time.

3

Moja ya picha ambazo ame-share John Terry ni zile ni pale akiwa anafanya sky diving kutoka kwenye ghorofa moja huko Dubai na kuandika, "Skydive Dubai…what a great experience and a brilliant view of the Palm…I wan tick this off my bucket list"

2

Baada ya kuwa mchezaji muhimu wa Chelsea kwa muda wa miaka 21 lakini bado John Terry yupo gizani kuhusu hatma yake akama ataanza kwenye kikosi cha kwanza msimu ujao au atahama cub hiyo.




Comments