BREAKIN NEWZZ:- MATOKEO YA MECHI YA AFRICA TANZANIA NA CHAD LEO HAYA HAPA LIVE!!

BREAKIN NEWZZ:- MATOKEO YA MECHI YA AFRICA TANZANIA NA CHAD LEO HAYA HAPA LIVE!!
Tanzania Taifa Stars 1, na imefanikiwa kusonga mbele kutokana na ushindi wa Magoli 2-1 kwenye mchezo wa kwanza.
Chad 0

Goli hilo la ushindi lilifungwa na Mchezaji maarufu wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa huko Belgium na Mchezaji bora wa Africa Mwaka 2015/2016

Comments