BAADA YA KUCHEZA DAKIKA 210 BILA MAGOLI, MATUTA YAIVUSHA ATLETICO MADRID CHAMPIONS LEAGUE DHIDI YA PSV
Atletico Madrid imetoa PSV Eindhoven kwa mikwaju ya penalti 8-7 na kupata tiketi ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Hatua hiyo ya mikwaju ya penalti imekuja baada ya timu hizo kucheza jumla ya dakika 210 bila mshindi - mchezo wa kwanza walitoka sare ya 0-0 na mchezo wa Jumanne usiku nao ukamalizika kwa sare kama hiyo na kulazimika kuongezewa dakika 30 ambazo nazo hazikubadili sura ya mchezo.
Hivi ndivyo mikwaju ya penati ilivyokwenda


Comments
Post a Comment