Mabao ya Azam FC yamepachikwa kimiani na Kipre Tchetche aliyefunga mabao matatu 'hat trick' na moja likapachiwa na nahodha wa timu hiyo, John Bocco.
Katika mechi ya kwanza, Bidvest ilipoteza kwa mabao 3-0 ikiwa nyumbani Johannesburg. Safari hii imepata mabao matatu lakini ikashindiliwa mengine manne. Maana yake Azam FC imevuka kwa jumla ya mabao 7-3
Comments
Post a Comment