Mtazame Rais wa TFF Jamal Malinzi Akieleza Kuhusu Tuhuma za Upangaji wa Matokeo...Adai Ahusiki Katika Ujinga Huo...
Jamal Malinzi aliyasema haya
"Upangaji wa matokeo ni kosa kubwa katika soka, na halitakiwi kufumbiwa macho, TFF imeshitaki suala hili kwa kamati ya maadili ya TFF na majibu yatapatikana March 20, kuhusu mimi kuhusika huo ni uzushi, mimi naongoza taasisi kubwa siwezi kuunga mkono au kushiriki katika huo ujinga"
Chanzo: Millardayo
Comments
Post a Comment