Barcelona wanategemea kufikia rekodi hii ya Real Madrid kwenye mechi ijayo


Barcelona wanategemea kufikia rekodi hii ya Real Madrid kwenye mechi ijayo

Screen Shot 2016-02-27 at 4.18.53 PM

Hadi sasa Barcelona wameshacheza mechi 33 kwenye msimu huu mfululizo bila kufungwa baada ya mechi iliyopita dhidi ya Arsenal. Mechi ya mwisho Barcelona kufungwa ilikuwa ni dhidi ya Sevilla ambapo walifungwa kwa magoli 2-1.

Sevilla wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi na form yao kwenye mechi za nje ya kwao imekua mbovu sana kutokana na kushindwa kushinda mechi. Wakati watu ambao wanaenda kucheza nao wameshinda mechi zote tano ambazo wamecheza nyumbani kwao.

Club ya Real Madrid imeweka rekodi ya kutofungwa kwenye michezo yao 34 kwenye msimu wa mwaka 1988/89. Kama Barcelona wakishinda mechi inayofuata dhidi ya Sevilla.

Barcelona wanatajia kucheza mechi yao dhidi ya Sevilla kesho saa 22:30 na mechi hii kama kawaida itaonekana Live kwenye Azam Tv.

Hii ni mechi ambayo iliishia kwa magoli 2-1



Comments