Arsenal imshindwa kufurukuta mbele ya Hull City katika mchezo wa FA Cup mzunguko wa tano na kulazimishwa sare ya 0-0 Emirates Stadium.
Kufuatia sare hiyo, timu hizo sasa zitalazimika kurudiana na iwapo Arsenal inahitaji kusonga mbele, ni lazima ipate ushindi wa aina yeyote ule.
Arsenal (4-2-3-1): Ospina; Chambers, Mertesacker, Koscielny, Gibbs; Flamini, Elneny; Campbell (Giroud 67), Iwobi (Oxlade-Chamberlain 73), Welbeck (Sanchez 67); Walcott
Hull (4-5-1): Jakupovic; Maguire, Bruce, Davies, Tymon (Odubajo 55); Elmohamady, Powell (Aluko 77), Maloney, Taylor (Huddlestone 55), Meyler; Diomande
Comments
Post a Comment