WAYNE ROONEY ALIPOJITOSA NA MWANAE GOODISON PARK KUCHEKI MECHI YA EVERTON DHIDI YA CRYSTAL PALACE



WAYNE ROONEY ALIPOJITOSA NA MWANAE GOODISON PARK KUCHEKI MECHI YA EVERTON DHIDI YA CRYSTAL PALACE
Wayne Rooney ambaye hajasafiri na kikosi cha Manchester United kwenda Ujerumani, Jumatatu usiku alijitosa kwenye uwanja wa Goodison Park kwenda kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu baina ya timu yake ya zamani Everton na Crystal Palace.

Rooney hakuwa peke yake bali aliandamana na mwanae Kai ambapo walionekana na tabasamu pana wakati mchezo huo wa sare ya 1-1 ukiendelea.

Nahodha huyo wa United alifunga dhidi ya Everton mwezi Oktoba kwenye uwanja huo huo wa  Goodison Park wakati kikosi cha Van Gaal kilipozoa ushindi wa bao 3-0.

Wayne Rooney was at Goodison Park on Monday night                    to watch former club Everton host Crystal Palace
Wayne Rooney akiwa ndani ya Goodison Park Jumatatu usiku kushuhudia mechi ya Everton na Crystal Palace
Rooney                  looks to teach his son a thing or two about the famous                  old ground prior to kick-off at Goodison Park
Rooney akiwa uwanjani na mwanae
Republic of Ireland assistant Roy Keane was also in                  attendance at Goodison for the Premier League clash
Roy Keane pia alikuwepo uwanjani



Comments