Louis van Gaal            alifanya mazungumzo yaliyojaa mgogoro na wachezaji waandamizi            wa Manchester United kufuatia kipigo cha Jumamosi iliyopita            cha bao 2-1 dhidi ya Norwich City kwenye uwanja wa Old            Trafford.
        Nahodha wa United             Wayne Rooney, Michael Carrick, Chris Smalling na Juan Mata            walikuwa ni miongoni mwa wachezaji wenye sauti waliofanya            maongezi na kocha huyo Mdachi.
        Miongoni mwa mambo            yaliyoongelewa ni pamoja na mbinu za kocha huyo sambamba na            ugumu wa mazoezi ambao wanaamini ndiyo unaopelekea wimbi la            majeruhi klabuni.
        Vaa Gaal pia            anakumbuna na changamoto kutoka kwa wachezaji Kihispania Mata na Ander Herrera, ambao wanahofia kuua            viwango kuporomoka na kupoteza nafasi zao kwenye kikosi cha            timu ya taifa kuelekea Euro 2016.
        Manchester United              captain Wayne Rooney was vocal in discussions with manager              Louis van Gaal
        Manager Van Gaal is              under pressure following a poor run of form, with his side              winless in over a month
        Rooney na wachezaji              wenzake wameamua kumshukia Van Gaal
        Wachezaji wa            Manchester United wanaamini wimbi la majeruhi linasababishwa            na mazoezi magumu yaliyopitiliza kutoka kwa Van Gaal
        
Comments
Post a Comment