VARDY, RANIERI, WATWAA TUZO EPL


VARDY, RANIERI, WATWAA TUZO EPL

Vardy-Ranieri

Manager wa Leicester City Claudio Ranieri pamoja na striker wake Jamie Vardy wameshinda tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa mwezi November kwenye ligi ya England (EPL) baada ya kukiongoza kikosi chao kukaa kileleni mwa ligi hiyo.

Vardy 1

Vardy, 28, alifunga kwenye michezo yote mitatu ya mwezi November na kuweka rekodi mpya kwenye English Premier League kwa kufunga magoli 11 kwenye mechi 11 mfululizo, wakati kocha muitaliano Claudio Ranieri yeye akichukua tuzo hiyo kwa kukiongoza kikosi chake kuvuna jumla ya ponti saba kwenye mechi tatu walizocheza mwezi November.

Ranieri



Comments