MASHABIKI WA CHELSEA HEBU ANGALIENI HIZI TWEETS ZINAWAHUSU


MASHABIKI WA CHELSEA HEBU ANGALIENI HIZI TWEETS ZINAWAHUSU

Tweets 5

Glenn Murray alifungia Bournemouth goli la ushindi dakika ya 82 dhidi ya Chelsea na kuipa ushindi wa goli 1-0 kwenye wa Stamford Bridge na kupeleka msiba mwingine kwa vijana wa Jose Mourinho msimu huu.

Matokeo hayo yakaicha Chelsea ambao ni mabingwa watetezi katika nafasi ya 14 ikiwa imepigwa gape la pointi 14 na Manchester United inayokamilisha timu za top four hadi sasa ambazo zitapata nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa Ulaya msimu ujao.

Wakati huo, Bournemouth imefanikiwa kupanda hadi nafasi ya 17 kwenye msimamo wa EPL. Bournemouth timu ya kwanza iliyopanda daraja kuifunga Chelsea kwenye uwanja wake wa nyumbani tangu Charlton ilivyofanya hivyo hivyo April 2001.

Baada ya kipigo hicho, wadau wa soka wamekuwa wakiikejeli Chelsea kwa ku-tweet mitazamo yao mbalimbali juu ya hali inaendelea sasa kwenye klabu ya Chelsea.

tweets 3

 

Tweets 4

 

Tweets 5

Tweets 6

Tweets 7

Tweets 8

 

Tweets 9

 

Tweets 10



Comments