HIVI NDIVYO SAMATTA, ULIMWENGU, WANAVYOKUTAKIA MERRY CHRISTMAS



HIVI NDIVYO SAMATTA, ULIMWENGU, WANAVYOKUTAKIA MERRY CHRISTMAS

IMG-20151225-WA0008

Leo wakristu duniani kote wanasherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo siku ambayo ni maarufu kwa jiana la 'Christmas' ambayo huadhimishwa kila mwaka inapofika December 25.

Mwaka huu wachezaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wamewatakia Christmas njema watu wote kwa kupost picha zao kwenye account zao za mitandao ya kijamii wakiwa wamevalia kofia za father Christmas ambazo ni maarufu sana kwenye kipindi hiki.

IMG-20151225-WA0007

Wawili hao ambao wameisaidia timu yao ya TP Mazembe kutwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika msimu huu kitu ambaco kimemsaidia Samatta kuingia kwenye top 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2015 kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Afrika)

Timu nzima ya shaffihdauda.co.tz inaungana na Mbwana Samatta pamoja na Thomas Ulimwengu kuwatakia watanzania wote heri ya Christmas.

Kwa pamoja tunasema #MerryChistmas.



Comments