Hivi sasa mechi ya kwanza kwenye michuano ya club bingwa ya vilabu ngazi ya dunia imeshafanyika na club ya Sanfrecce Hiroshima imeshinda kwa magoli 2-0 dhidi ya Auckland City.
Baada ya mechi hiyo Sanfrecce Hiroshima imefanikiwa kucheza hatua ya pili dhidi ya TP Mazembe siku ya Jumapili.
Sasa hii hapa ndio ratiba kamili ya mechi zote za michuano hii ambayo itaonekana live kwenye king'muzi cha Startimes.
10 Dec Sanfrecce Hiroshima Vs Auckland City Saa 13: 45 World          Football*
          13 Dec Club America Vs Guangzhou Evergrande Taobao 10:30 World          Football*
          13 Dec TP Mazembe Vs Sanfrecce Hiroshima 13:30 World Football*
          16 Dec Loser 2 Vs Loser 3 10:30 World Football
          16 Dec Winner 3 Vs Club Atletico River Plate 13:30 World          Football
          17 Dec Barcelona Vs Winner 2 13:30 World Football*
          17 Dec Loser 5 Vs Loser 6 10:30 World Football*
          20 Dec Winner 6 Vs Winner 6 13:30 World Football*
Mechi hizi ni kwa muda wa masaa ya Tanzania na mechi zenye nyota * zitaruka Live kutoka studio.
Comments
Post a Comment